Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Wanafunzi wa Hawzat Imam Ridha (a.s) Ikwiriri - Tanzania, iliyopo chini ya Taasisi ya Kiislamu ya Hojjat al-Asr - Tanzania, wakiwa katika programu mbalimbali za Kidini ambazo ni sehemu ya ratiba zao za kila siku katika Hawzat hiyo.
16 Aprili 2025 - 02:23
News ID: 1549657
Shughuli hizo za Kisayansi na Kitamaduni ni pamoja na:
1_ Kufanya Mubahatha wa Kielimu ili kujiimarisha zaidi katika masomo yao ya kila Siku.
2_ Kushiriki katika Sala za Jamaa kikamilifu.
3_ Na kusoma Dua mbalimbali.
Amani, Rehema na Baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yenu.
Tarehe: 15 / 04 / 2025.
Sayyid Aref Ali Naqvi.
Your Comment